Genesis 13:7-8

7 aUkazuka ugomvi kati ya wachunga mifugo wa Abramu na wale wa Lutu. Wakati huo, Wakanaani na Waperizi ndio waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo.

8 bHivyo Abramu akamwambia Lutu, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
Copyright information for SwhKC